lbl_core_functions
1
Lengo la kuu la AAIU

Lengo kuu la AAIU ni kuzuia ajali au matukio (kuboresha usalama wa anga) kupitia uendeshaji wa uchunguzi usio na upendeleo, wa kina na wa wakati unaofaa ili kubaini mazingira na visababishi vya ajali na matukio ya ndege, pamoja na kutoa mapendekezo ya usalama yanayolenga kuzuia kujirudia kwa ajali kama hizo. Kitengo hiki hakipaswi kuonekana au kuchukuliwa kuwa kinaweka lawama au kuamua dhima ya kiutawala, kiraia au ya jinai.

Umeshuhudia au unahusika na tukio la usalama wa anga?

Wasiliana na AAID mara moja kupitia simu ya dharura au fomu yetu ya kuripoti mtandaoni. Taarifa yako inaweza kuokoa maisha.

lbl_need_any_help